Monday, May 19, 2014

DUNIANI KUNA MAMBO KWELI AU NI KWA AJILI YA UTANDA WAZI.

Kwa jinsi dunia ilivyo sasa hivi hata hiki kitendo kitaonekana cha kawaida maana maovu uanayotendeka asa hivi ni zaidi ya laana. Hawa walikutwa wakifanya kitendo
BONGE LA SHOW KWA WAKALI WA BONGO FLAVER ILIOFANYIKA UINGEREZA.
Hapa ni bump to bump Ommy Dimples akisugua gaga ni Jastina George live on stage katika show iliyofanyika usiku wa tarehe 17. Ommy pamoja na Diamond walikinukisha live bila chenga.
Hapa ni Flora Lyimo nae alijiweka kwa Diamond live on stage kiroho safi 
Ommy Dimples akiwapagawisha wabongo wa UK
Diamond ndani ya style yake ya V skirts akiimba kwa hisia mbele ya wa bongo wa UK,