Dada
mmoja aliyejulikana kwa jina la Mahida, alikuwa anafanya biashara ya
kujiuza ili aweze kuweka kitu umboni mwake. dada huyo alikuwa na wateja
wamaana na mapedeshee wengi sana kwa hiyo kwa siku yeye kuondoka na laki
4 au 5 kwa siku ilikuwa ni kawaida sana. siku moja dada Mahida aliamua
aende hospitali ili akatoe miamba aliyokuwa nayo tumboni mwake,
alifanikiwa na kutoa mimba ile lakini baada ya kumaliza utoaji wa miamba
alimuomba daktari atoe kizazi kabisa ili asipata tabu ya kuja kutoa
mimba kila mara, daktari alifanya kama alivyoambiwa.
Dada Mahida alirudi mtaani na kuendelea na biashara ya kujiuza.
Siku moja ilikuwa jumapili Mahida alikutana na rafiki yake wa muda
mrefu waliyekuwa wanaishi wote enzi za utoto wao, rafiki yake huyo
alimwambia Mahida waende kanisani, ili kuficha aibu ya biashara
aliyokuwa anafanya dada Mahida alikubari na wakaamua kwenda wote
kanisani. Siku hiyo Mahida alielewa sana neno na akaahidi kuwa jumapili
ijayo ataenda, basi ikawa tabia mpya ya dada Mahida akawa kila siku
anafanya biashara zake za kujiuza na jumapili anaenda kanisani, kadri
siku zinavyozidi kwenda dada Mahida akaanza kupunguza biashara ya
kujiuza na kumgeukia Muumba mpaka akaacha kabisa tabia ya kujiuza na
kuanza kufanya shughuli nyingine zilizokuwa zinamuingizia kipato.
Siku moja Mahida alienda kanisani na alipokuwa ameketi mchungaji
alimfuata na kumwambia "nimeoteshwa kuwa ww ndiyo utakuwa mke wangu wa
kufa na kuzikana" dada Mahida alishtuka na alimtazama mchungaji na
kumwambia "mchungaji umekurupuka mimi kamwe siwezi kuwa mke wa mtu na
kamwe siwezi kuzaa" alimaliza Mahida na kuondoka kanisani, kila wiki
aliyokuwa anaenda kanisani dada Mahida alikutana na maneno yale yale kwa
mchungaji na mchungaji alimwambia "nimeota umepata ujauzito na
umenizalia watoto wanne" Mahida alimuangalia mchungaji na kusimama na
msimamo wake ulele ule.
Siku zilizidi kuyoyoma lakini kutokana
na mchungaji kuendelea kusema maneno yale yale basi ilibidi dada Mahida
akubali na akakubali kuolewa na mchungaji na wakafunga ndoa na ndoa yao
ilikuwa ya furaha sana. kadri siku zilivyozidi kwenda dada mahida
alianza kuona mabadiliko mwilini mwaka na kuamua kwenda katika ile
hospitali aliyowahi kwenda mwanzo kutoa mimba na kumkuta daktari
aliyemfanyanyia utoaji wa mimba siku za nyuma, baada ya daktari kumona
Mahida akajua amkekuja kwa shida nyingine ikabidi amuulize "Dada Mahida
nikusaidie nini tena dada yangu" mahida alijibu kuwa anahisi anadalili
za ujauzito, Daktari alicheka sana baada ya kuambiwa hayo majibu kutoka
kwa mahida na daktari alimwambia "Dada mahida nona umechanganyikiwa enh
dada yangu?? mimi ndiye nilitoa kizazi chako leo iweje uwe na mimba acha
kuchekesha walionuna"
Mahida alimwambia daktari chukua vipimo
kapime, kweli daktari alifanya hivyo na baadae akarudi mikono
inamtetemeka na kumwambia mahida "Dada Mahida nipeleke na mimi kwa huyo
uneyebuabudu nami niweze kumuabudu maana ni mkweli na anasaidia
wanyonge, Dada Mahida ww ni mjamzito wa miezi miwili". Mahida alilia
huku akiamini kuwa Mungu ashindwi na kitu chochote Duniani.
Daktari wiki ilifata naye alienda kanisani na kuanza kumtukuza muumba.
Ndugu yangu hata kama upo katika wakati mgumu kiasi gani lakini kumbuka
yupo anaweza kufanya ugumu wa mambo yako kuwa mepesi kama unatafuna
karanga.
hakunna kinachoshindikana kwa Mungu,
comment AMINA
kama unaamini hakuna kinachoshindikana kwa jina lake yeye muumba na
kama unaamini magumu yako yote yenaweza kuwa mepesi kupindukia.
Share na mwenzako kufikisha ujumbe.