Thursday, December 5, 2013

Mzozo wa familia ya Mandela watokota


 

Mjuu wake Nelson Mandela, Mandla , amewatuhumu jamaa zake kuwa na njama ya kutaka udhibiti wa mali ya babu yake rais wa zamani wa Afrika Kusini.
Matamshi yake yanakuja baada ya mahakama kuamuru kuwa mabaki ya wanawe Mandela kufukuliwa na kuzikwa nyumbani kwa Mandela katika kijiji cha Qunu.
Mnamo Jumatano polisi walifukua mabaki ya wanawe Mandela nyumbani kwa Mandla kufuatia agizo la mahakama baada ya kuwasilisha malalamiko yao mahakamani.
Mandela, mwenye umri wa miaka 94, yungali hali mahututi hospitalini lakini madaktari wamedhibiti hali yake.
Rais Jacob Zuma alitoa taarifa baada ya kumtembelea mzee Mandela hospitalini mjini Pretoria.
Kumekuwa na mgogoro wa muda mrefu kati ya familia ya Mandela juu ya urithi wake lakini imekithiri huku hali yake ya kiafya ikiendelea kuwa mbaya zaidi.
Mzozo huu wa hivi karibuni kuhusu makaburi unatokana na hoja ya wapi azikwe Mandela akifariki.
Stakabadhi zilizowasilishwa mahakamani wiki jana zilionyesha kuwa anatumia mashine ya kupumua.
Alilazwa hospitalini tarehe 8 mwezi Juni baada ya kuugua maradhi ya mapafu.
Mkewe amesema kuwa Mandela wakati mwingine anasumbuka lakini hajalalamika kusema anahisi uchungu wowote.

Mandela atoweka duniani

Tanzania imetangaza siku tatu za maombolezo kuanzia tarehe 6 hadi 8 Desemba, 2013, kufuatia kifo cha rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.
Rais Jakaya Kikwete wa nchi hiyo pia ameagiza kuwa katika kipindi hicho cha siku tatu bendera zote zitapepea nusu mlingoti.
Kufuatia kifo hicho Rais Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na kupitia kwake kwa mkewe Bi Graca Machel, wanafamilia wote na wananchi wote wa Afrika ya Kusini kufuatia kifo cha Mzee Nelson Mandela kilichotokea tarehe 5 Desemba, 2013 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Rais ameuelezea msiba huu kuwa ni msiba mkubwa kwetu sote.
"Afrika ya Kusini, Afrika na dunia kwa ujumla imepoteza mtu mashuhuri na shujaa mkubwa wa Karne ya 20 na 21.Tunaelewa machungu waliyonayo wananchi wa Afrika ya Kusini kwa kupoteza kiongozi shupavu, jasiri, mwana mapinduzi , mvumilivu na mstahimilivu". Ameongeza Rais Kikwete.
Rais amemuelezea Mzee Mandela kuwa ni kielelezo cha aina yake kwa wanadamu kwa moyo wake wa kusamehe, huruma na upendo uliomwezesha kuwaunganisha wananchi wa Afrika ya Kusini kuwa taifa moja baada ya kipindi kirefu cha mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi.
"Mandela ni mfano bora kwa wanadamu wa jinsi binadamu muungwana anavyopaswa kuwa . Ni wajibu wa wana Afrika Kusini, Afrika na dunia kuiga mfano wake hasa moyo wake wa uzalendo, kujitolea hata maisha yake kwa ajili yake na wananchi wenzake". Rais ameongeza kusema, "Tuzidi kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Mzee Mandela mahali pema peponi".
Mandela amefariki huko Johannesburg akiwa na umri wa miaka 95 na yeye ndiye aliyeiongoza Afrika Kusini kutoka mikononi mwa watawala wa ubaguzi wa rangi baada ya kufungwa jela kwa miaka 27.
Mandela alikuwa anatibiwa homa ya mapafu nyumbani kwake baada ya kulazwa hospitalini kwa miezi mitatu.
Katika taarifa yake kwa watu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, alisema kuwa Mandela amewaaga lakini yuko mahali salama.
Rais Zuma amesema kuwa taifa limepoteza mtu waliyemjua kama mtoto wa taifa hilo.
Mandela aliwahi kushinda tuzo ya amani ya Nobel, na kutambulika kama rais aliyeheshimika sana hasa kwa kupatanisha watu wa Afrika Kusini baada ya kutoka gerezani.

Wednesday, December 4, 2013

Story ya kusisimua Misuli


LOOO! HUYU BINTI JIRANI YANGU MAJANGA MATUPU ANANITEGA MPAKA NAKARIBIA KUSHINDWA UVUMILIVU

Huyu binti ambaye anaishi opposite my flat, anaishi na dada yake mkubwa, amemaliza elimu yake ya secondary. Mimi na dada yake tupo jirani sanakama majirani as if family moja. Dada yake siku za kazi huwa anaondoka asubuhi anarudi usiku. Pindi nikiwa nimerudi nyumbani baada ya kutoka kazini mida ya alasiri mdogo wake uja kwangu sababu ubaki peke yake anakuwa bored. Binafsi kiukweli huwa naienjoy company yake ikapelekea tuwe na ukaribu ambao binafsi nilimchukulia kama mdogo wangu.

Kivumbi kilikuwa jumatano iliyopita, aliingia kwangu akiwa amevaa tight ya ajabu Looh!! Huku akiwa amebeba nguo nyingine, makalio yalivyo kuwa yametokezea Mmmm. Sitopenda kumtaja ni kabila gani ila lieleweke ni binti wa kanda ya ziwa aliye zaliwa hapa Dar

Kutokana na maelezo yeke ameniambia amenunua hiyo nguo anataka mawazo ya mtu mwingine. Mbele ya macho yangu jamani alivua nguo akabakiwa nab brouse sehemu ya tumbo yote ipo wazi na kilichonifanye nusu nizimie ni kwa mara ya kwanza kumuona msichana ana nywele zimepanda mpaka sehemu ya kitovu (Garden Love) tumbo la uduara hivi kisha akavaa nguo aliyo kuwa amekuja nayo. Nilicho mwambia nguo imempendeza.

Cha kushangaza baada ya kumwambia nguo imempendeza akaenda chumbani kwangu kubadilisha, punde nika notice amefungua mlango wa toilet. Then nikasikia makelele ikanilazimu niingie chumbani. Nikakuta mlango wa toilet umerudishiwa, nikataka kufamu kulikoni. Akaniita akilalamika msuli wa mguu umembana. Kuingia ndani laula lakwata hata siwezi elezea. Nikajikaza kisabuni nikamsaidia kutoka toilet nikampa taulo ajifunge then nikamkalisha kitandani. Kisha alipo pata nafuu akarudi kwao.

Siku ya ijumaa iliyopita, alikuja kuniomba nimsaidie ku upload picha zake kwa fb, nikaunganisha simu yake na laptop yangu. Akanielekeza folder nika click nikakuta picha zake za kama amezaliwa vile Mmmm jamani. Akajifanya kama amekosea akanionyesha folder nyingine nika uploaded picha zake

Kwa mawenge niliyoyapata nilimwachia laptop aendelee na mafacebook yake. Aijapita mda mrefu akanionyesha picha yake aliyepiga makalio akaniambia nicoment.
Kiukweli mimi ni senior bachelor age yangu 35 nipo na senior bachelor girlfriend wangu ambaye kwake ni kama nimekula yamini, huyu binti anamiaka 17 tu.
Nifanyeje?